
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Simu:022-2110146/2110150/2/211679 Faksi:022-2113271, Tovuti: www.moe.go.tz
UTANGULIZI
Moja ya
mikakati ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika kuandaa walimu
mahiri ni pamoja na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga
na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada ni wale wenye ufaulu mzuri
katika...