Imebainika kwamba asilimia kubwa ya Wanaume wengi wenye kasoro zifuatazo hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalimbali tu, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbali nk...
1. Wanaume WAFUPI....
1. Wanaume WAFUPI....
Hivi vi - andunje huwa havijiamini siku zote.... ni wengi ni wa show off kwa mademu,
hasira kwao ni jadi... wanawake wengi huwachukia.... wanajisifia kwa
vyote kuficha kutokujiamini kwao.... ukiwasikiliza utashangaaaa...
2. Wanaume MASKINI ILA WANAPENDA UBAROBARO...
Hahaha!!hapa nisiseme saaaana .... utafikiri mnyamwezi Jay-Z au P-Diddy katua bongo....
Ila sasa wajue walivyo utashangaaa, ila wanawalamba mademu wa shapshap ambao hawana serious future relationship.......wanajisifia kuficha HALI YAO HALISI NI NGUMU NGUMU NGUMUUUUUU....
3. Wanaume wanaojifanya WAJUAJII a.k.a MUCH KNOWS
Yaani hawa waangalie sana, kiukweli wanataka waonekane wanajuaaaaa....kila kitu....tena atabishana hata na mtaalamu wa fani fulani.... YOTE KUFICHA MAPUNGUFU YAO.... YA KUTOKUJUA, labda ana kiwango kidogo cha elimu etc....
4. WANAUME WENYE FEDHA HALAFU MASKINI WA ELIMU naUFAHAMU....
Hawa hawana tofauti na sharobaro, opposite is true....unawakuta wanatumia fedha kama fimbo..jichanganye sasa uolewa na jianaume kama hili...utajuaaaata kulifahamu
HHAHAHAHA..KWA LEO WAJAMENI....NICE WEEKEND

0 comments :
Post a Comment