....linapokuja suala la mziki, tanzania tunalundo la wasanii chipukizi ambao wana ndoto za kuwa wasanii wakubwa! linapokuja suala la cherish, white peolpe says :cherish begins at home". to me he is a amazing artist, na wala sihitaji kujua wewe una waza nin.....narudi nyumbani nakutana na kijana aitwae ISRA A.K.A SUPERVISOR, ni moja kati ya watu ambao wanawakilisha vizuri mji wa mombo!
Kuonyesha kwamba mi si mchoyo, ngoja kwanza nikuonyeshe sura ya kazi afu ndo mambo mengne yaendelee.
huyo ndo isra along side balleca wakifanya yao katika moja kati ya ngoma yao kali iitwayo waongo ni wengi iliyofanyika katika moja ya studio matata ndani ya dar, mazuu records
ni suala la muda tu jamaa atakapotambulika katika game na kutufanya tutembee vifua mbele wana mombo....KILA LA HERI ISRA, KILA LA HERI BALLECA, TUNATAMBUA MCHANGO WENU......NA MUNGU ATABARIKI KAZI ZENU.....Asalam aleykum
Saturday, January 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment